Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mimi nimemaliza chuo kazi yangu ya kwanza ni Ubunge, lakini wewe na Hayati Dkt. Magufuli mliniamini kuwa Naibu Waziri leo ni Waziri wa Maji sio jambo jepesi, mimi Mama yangu ni Mama ntilie kabisa lakini umeniamini na kunipa dhamana hii kubwa
Mh. Rais uliniita na kuniambia Aweso naomba unisikilize na kunielewa, kote nilikopita changamoto kubwa ni maji, ukasema waathirika wakubwa na changamoto ya maji ni akina mama wanatembea umbali mrefu, wanamuacha Baba na baba yeye anachotaka kuoga.