Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mijini wazazi wasio na uwezo hulala na wanao chumba kimoja. Hayo ndiyo yaliyomkuta Ali na mdogo wake, Juma. USiku wa siku hiyo Ali alijifanza kulala fofofo ndipo wazazi wake wanaolala na Juma walianza kujamiiana kwa kishindo. Ali hulala juu ya kochi na alikuwa akiona yanayoendelea kitandani japo giza lilimzonga. Katika kujamiiana kule ndipo bahati mbaya walimsukuma Ali akadondoka chini. Walimbeba na kumlaza tena kitandani na walipoona kalala wakaanza tena, ndipo Ali kwa mapenzi kwa mdogo wake aliposema, "Juma, jishikilie wameanza tena!"