Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kutokana na shida ya nyumba hapo Moscow, kijana Dimitr ingawa alikuwa anasoma Patrick Lumumba University, alikuwa akiishi na wazazi wake. Ila ukweli ni kuwa alikuwa akiishi na kulala nao chumba kimoja. Ila alikuwa na tabia ya ajabu sana darasani kwani alikuwa akisinzia bila mpango. Mwisho washikaji wakamuuliza kisa cha usingizi wake. Dimitr akasema kuwa "kila usiku, baba yake huwa anamuamshaamsha mara kibao na kumuuliza kama amelala........." Jamaa wakamwambia basi siku ajifanye kalala na aone nini kitafanyika.......
Jamaa akaitwa kama tatu, mara ya nne kakausha na kusubiri nini kitafuata. Wazazi walipoona jamaa kalala, Mzee akamwambia Tatiana wake "Tatiana, Dimitr kashalala, twende zetu tukaanze kazi (bafuni). Kijana kusikia twende zetu akakurupuka..........."heee, mnaenda wapi peke yenu? Na mie pia nataka niende.............." Baba aache kutoa matusi jinsi kijana asivyo na adabu............
Jumaa, wameanza tena walahi kula samaki..... hahahaaaa safi sana..
Mijini wazazi wasio na uwezo hulala na wanao chumba kimoja. Hayo ndiyo yaliyomkuta Ali na mdogo wake, Juma. USiku wa siku hiyo Ali alijifanza kulala fofofo ndipo wazazi wake wanaolala na Juma walianza kujamiiana kwa kishindo. Ali hulala juu ya kochi na alikuwa akiona yanayoendelea kitandani japo giza lilimzonga. Katika kujamiiana kule ndipo bahati mbaya walimsukuma Ali akadondoka chini. Walimbeba na kumlaza tena kitandani na walipoona kalala wakaanza tena, ndipo Ali kwa mapenzi kwa mdogo wake aliposema, "Juma, jishikilie wameanza tena!"
Hii inasikitisha sio kuchekesha aisee umaskini mbaya sanamiaka yangu ya kuhangaika wakati ndo naanza maisha, kuna jirani mmoja yeye alikuwa anatoka dodoma,...alikuwa na chumba kimoja amepenga na ana watoto wanne, wa kwanza ana miaka saba. ukimtembelea ukaona watoto wake wako wamekaa nje kwa huzuni mlango umefungwa, mida kuanzia ya saa moja hivi jioni, ujue mama na baba wanajamiiana mida ya saa moja ili saa mbili watoto waingie wale na kulala. hiyo ndo ilikuwa ratiba yao. ilikuwa inachekesha mtaa mzima walikuwa wanajua ratiba yao,..na ishara kubwa ilikuwa kuona watoto wamejikunyata nje wazazi wamefunga mlango.
Kuna konda mmoja alikuwa na hamu ya kuendesha gari sana sana,ila katika safari na dereva walifika kituo kimoja na kulala gesti wote kitanda kimoja ,usiku wa manane wakiwa wanakoroma kabisa na ilipokaribia alfajiri dereva alikuwa na ndoto zake zilizosababisha nanihino kusimama na yule konda nae alikuwa yumo katika ndoto za kuendesha gari ,basi akashikilia kirungu cha dereva na kuanza kubadilisha gea ,aloo !!!