Jamaa mmoja alikuwa na mke na mtoto mmoja mtoto alikuwa analaka sebuleni mtoto kila siku alikuwa anamwambia baba yake itoe hiyo gari tuwe tunaendesha wote baba akawa hamwelewi mtoto siku nyingene mtoto akarudia kumwambia dingi kuwa hiyo gari itoe tuwe tunaendesha wote dingi akaamua kumuuliza mtoto wake vizuri kuwa kila siku unasema gari gari gani? Mtoto akasema mbona huwa nasikia mama anasema ikisamaa upande?