Vipi sababu za kutozitoa chanjo hawakusema mkuu?
Ipo hivyo hivyo.Wiki iliyopita nilijiandikisha online kupata chanjo ya Covid Amana Hosp leo Jmosi Aug 7. Lkn nilipofika pale tuliambiwa leo hawatoi chanjo hadi J'tatu.
Baadaye jamaa alinitonya niende Aga Khan. Nikaenda, sikuchukua dak 15 nikapata chanjo.
Inakuwaje private hospital wanajali zaidi wananchi kuliko govt hospital?
Na hili suala la kujiandikisha online kumbe magumashi tu.
Agakhan ulipata free mkuuu??
Pole sana mkuu, ni changamoto sana. Muhimu umeshafanikisha hitaji lako la kupata chanjo.Hakuna aliyekuwa tayari kuongea pale. Walinzi wa geti walinionyesha sehemu wanapochanjia niende nikaulize, nilipoenda hakukuwa na mtu mabenchi tu ya kusubiria na sehemu za kundikisha pasipo wahudumu.
Kiliniuma zaidi ni uhuni wa online registration - aibu tupu.
Tulichanganya na maji ili iwe dozi nyingi, zile dozi 1m jumlisha na maji Lita 1000.Chanjo milioni moja bado tu hazijaisha mpaka leo?
Wabunge 320 X wategemezi wao
Vigogo 500 x wategemezi wao
Jeshi
Afya
Wagonjwa
Wazee
Haiwezekani iwe mpaka leo zoezi linaendelea kwa chanjo hizo milioni, au zimeshakuja nyingine kimya kimya?
😆😆Tulichanganya na maji ili iwe dozi nyingi, zile dozi 1m jumlisha na maji Lita 1000.
Wewe unahitaji PhD kujua ya kwamba siku za weekend wafanyakazi wa serikali huwa hawafanyi kazi?Vipi sababu za kutozitoa chanjo hawakusema mkuu?
Kichupa kimoja wanachoma watu 5..Chanjo milioni moja bado tu hazijaisha mpaka leo?
Wabunge 320 X wategemezi wao
Vigogo 500 x wategemezi wao
Jeshi
Afya
Wagonjwa
Wazee
Haiwezekani iwe mpaka leo zoezi linaendelea kwa chanjo hizo milioni, au zimeshakuja nyingine kimya kimya?
Kwahiyo waliposema wamepokea chanjo milioni 1, walikuwa na maana ya kuwa wanategemea kuchanja watu milioni 5 au milioni 1?Kichupa kimoja wanachoma watu 5..
Wewe unahitaji PhD kujua ya kwamba siku za weekend wafanyakazi wa serikali huwa hawafanyi kazi?
Mkuu ni dozi ngapi inatakiwa kukamilisha chanjo kamili ?Wiki iliyopita nilijiandikisha online kupata chanjo ya Covid Amana Hosp leo Jmosi Aug 7. Lkn nilipofika pale tuliambiwa leo hawatoi chanjo hadi J'tatu.
Baadaye jamaa alinitonya niende Aga Khan. Nikaenda, sikuchukua dak 15 nikapata chanjo.
Inakuwaje private hospital wanajali zaidi wananchi kuliko govt hospital?
Na hili suala la kujiandikisha online kumbe magumashi tu.