Jumamosi kwa mara ya kwanza nilipata kifungo (BAN) katika gereza la JamiiForums

Jumamosi kwa mara ya kwanza nilipata kifungo (BAN) katika gereza la JamiiForums

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
3,587
Reaction score
7,272
ilikuwa jumamosi saa sita naingia zangu jf ili nikapitie uzi wa Raynavero kuhusu jf ingekuwa shule ya bweni mara paaap nakutana na Padlock kosa likiwa highlighted kwa chini

hapo ndipo nikagundua kuwa siyo kila anayekwenda jela huwa ana hatia kwa kweli....

ila BAN imenifanya nigundue kuwa jf ni kama madawa ya kulevya ukishaianza ukiikosa unapata arosto ambayo haiwezi tibika kwa mtandao mwingine wowote zaidi ya jf basi nikawa naingia kwa kutumia browser nyingine nikiwa kama guest yaani read only na hapo thread nyingine hazifunguki sababu ya seting za privacy nahisi

sasa nikajiuliza kama mimi sipo active kihivyo na weekend yangu ikawa hovyo kabisa sababu ya arosto ya kukosa jf sasa huwa hali inakuwaje kwa member wakongwe na active pale wapatapo BAN

nakumbuka Shunie alikula BAN sasa najiuliza dada angu hivi hali ilikuwaje au BAN umezizoea

dada mkuu amu vipi umeshawahi pata BAN je hali ilikuwaje by the way pole niliona kijana ema (C.I.A) Agent alivyo kudisapoint ila ndio hivyo nilishindwa kucoment sababu niliingia kama guest maana id yangu ilikuwa gerezani

Nyani Ngabu vipi the chimney ngabu umeshawahi kwenda gerezan je hali ilikuwaje maana mimi sipo active sana lakin niliumizwa sana na kushindwa kuingia humu kwa siku tatu je nyie wenzangu wakongwe na active members sihuwa hizi BAN zinawaumiza sana

cc theriogenology Duke Tachez Numbisa Castr
 
Hakuna Ban ambayo haijawahi kuumiza Mkuu labda kwa wale wenye id mbilimbili ila kama mie nilikuwa nna kazi ya kuchungulia tu kuona kama imekwisha.

Maana niliipataga kipindi ambacho ndio nilikuwa mteja hasa wa jf.
pole sana dada... hyo hali ndiyo ilinikuta mimi weekend hii ila uvumilivu wa kuchungulia ulinishinda nikaamua niingie kama guest ili niwe nauwezo wa kusoma tu thread za wadau 😂
 
Ban yangu ya kwanza ilikuwa july 2013 aisee nlihangaika nikaipangua nikarudi ndani ya robo saa kulikuwa kuna maandamano kila post free amu,simu kwa wakubwa hazitulii mpaka wakanifungulia ,ndo sababu ya invisible kuweka angalizo hapo juu.
Juzi juzi nlipata ban tena tulifagiliwa kama kumbi kumbi na nlikuwa katikati ya mtongozo wa maana sana sema ban za siku hizi mda mfupi sana unahesabu masaa zamani ilikuwa mwezi.
 
Ban yangu ya kwanza ilikuwa july 2013 aisee nlihangaika nikaipangua nikarudi ndani ya robo saa kulikuwa kuna maandamano kila post free amu,simu kwa wakubwa hazitulii mpaka wakanifungulia ,ndo sababu ya invisible kuweka angalizo hapo juu.
Juzi juzi nlipata ban tena tulifagiliwa kama kumbi kumbi na nlikuwa katikati ya mtongozo wa maana sana sema ban za siku hizi mda mfupi sana unahesabu masaa zamani ilikuwa mwezi.
dada mkuu humu uwepo wako muhimu sana asee hadi maandamonya free amu 😂😂 mm walinipga la siku 3 asee iliniuma sana hasahasa nature ya kosa
 
Sijawahi kula ban ila nimefutiiwa Sana comments

Mods wamenifundisha kuandika bila kufikiri, manake nilikua naumiza akili mods wanaona ujinga wanafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
daaaah alafu inauma sana unapotumia akili kuandika alafu inaonekana ni text chochez na kuishia kufutwa...😂😂😂

ila hongera kwa kutoingia gerezan hata mara moja
 
Jimmie, si kama umuhimu walinipa ban ya uonevu lijitu linatukana bila sababu nikalijibu nikapewa ban.
hahah... alafu akiyekuwa anatukana aliachwa daaah kweli hapo ilikuwa haina jinsi zaidi kuandamana tu
 
Back
Top Bottom