Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hii ni kumbukizi ya Mwalimu Nyerere,safari ya kila mwaka. Itaanzia hapa Msasani Residence saa tatu asubuhi. Sometimes anaalikwa kiongozi wa Serikali to flag them off. Last time waliagwa na DC Gondwe. Wanaokwenda na baiskeli,huwa wanapita hii njia ya Bunju kuelekea Msata halafu kula mbele wanaitafuta njia ya Chalinze.
Wapanda baiskeli wengine wanaishis njiani na wengine wanaokwenda mpaka kijijini Butiama ambapo watapokelewa na Madaraka Nyerere na wengine waliopo Butiama.
Safari hii inafanyika wakati ambapo nchi imekumbwa na political turmoil inayosababishwa na what people consider to be state- sponsored terrorism.
Sisi Familia ya Nyerere tunaiunga mkono Serikali. Yes,you read it correctly, tunaiunga mkono Serikali katika katika juhudi zake za kudumisha amani na kuleta maendeleo. Lakini yako mambo yanaleta ukakasi: kama kupotea kwa Soka,na vijana wengine wa Chadema,mauaji ya Ali Kibao na watu wengine ambao sasa hivi ni political detainees.
Ingekuwa vizuri kama mpango ungefanyika kuwaachia huru hawa vijana kabla hizi baiskeli hazijafika Butiama.
Lakini sisi hatuungi mkono viongozi wa Serikali kutukanwa jinsi ambavyo mtu hawezi kuwatukana wazazi wake mwenyewe au ambavyo hawezi hata kumtukana raia wa kawaida.
Kwa hiyo watu wajifunze jinsi ya kuongea. Kwa hiyo,ni matumaini yetu,Familia ya Nyerere, kwamba huu unaweza kuwa wakati mzuri wa amnesty kuhusu hawa watu ambao wanadhaniwa wamekosa.
Tumkumbuke "Baba wa Taifa", kwa sababu watu wamekuwa na mashaka kidogo kama Serikali hii inawatumikia na pia wananchi wenyewe wanfanyiana ubaya.
Tunalaani ramli chonganishi lakini matatizo yetu mengi yapo nyumbani na katika sehemu za kazi.
Kwa hiyo tuirudie dini . Dini ndio inamwezesha mtu kutenda mema hata kama hakuna mtu anamtazama.
Nidhamu ni lazima.Katika familia lazima iwepo nidhamu.
Katika taasisi au asasi yoyote lazima iwepo nidhamu. Katika mwili pia lazima iwepo nidhamu.