"Ganda la muwa la juzi chungu kaona kivuno."Umeandika takataka tupu
Umeleta mfereji wa maji machafu humu JF,hovyo kabisa"Ganda la muwa la juzi chungu kaona kivuno."
Takataka kwako, lakini madini kwa wengine.
Hadi hapo unasema je mburula wewe usiyelimika?
Umeleta mfereji wa maji machafu humu JF,hovyo kabisa
Kumuunga or kutomuunga mkono ni haki yako. Huwezi ukaongoza watu mil. 60 na ukawafurahisha wote, ndani ya familia tu ya watu wasiozidi 5 kunakuwa na mifarakano. Vilevile eleweni kwamba huyo Mwamba wenu siyo malaika, ukiachilia mbali nafasi yake ya kisiasa, lakini naye ni binadamu kama wewe na anatenda makosa yote ya kibinadamu. Acheni mahakama ifanye kazi yake, Mahakama ile ile iliyomtoa Mdude na kuwarudishia CDM hela zao za faini ndiyo itamuhukumu kwa haki bwana Mwamba, sielewi hizi kelele zote mnazitoa wapi wakati Mwamba yupo katika mchakato wa mahakama unaotambuliwa kikatiba.
Kuandika ukiwa umejificha nyuma ya keyboard na fake id ni rahisi sana, ishu inakuja kwenye kutake actions mstari wa mbele, hapo ndipo makamanda huwa wanaanza kusingizia wananchi wa tz wamelala, nyie siyo wananchi? Babu wa loliondo ni kama wafuasi wa "vibwetere" tu, sikio la kufa, hata uwaambie nini hawakuelewi, wameshamezeshwa takataka kwa brain zao.Nisome vyema. Nimeandika kwa binafsi yangu. Nimempa ya moyoni kwa binafsi yangu kama ninayeipenda tz.
"Hata kama asingechanjwa na hata kama angepiga kampeni tusichanjwe, bado ningechanjwa mimi na washirika wangu."
Haya si maneno matupu. Wanaofahamu hivyo hata humu JF si wachache.
Kamtelekezea janga babu Loliondo. Kawatelekezea janga Loliondo. Bado kama ilivyo ada Babu wa Loliondo kafa kwa umeme wa moyo kukata moto.
Nini alifanya kumlinda babu Loliondo au kuilinda Loliondo dhidi ya ujinga wao na gonjwa hili? Nini anafanya kama funzo Loliondo au nchini?
Kwamba Mbowe kubambikiziwa kesi na sasa tutegemee kuna haki wapi? Haki hiyo kwenye kipindi cha mwendazake ilikuwa wapi? Kwani nini kimebadilika?
Hayo uliyoyataja huko mahakamani angekuwapo yule dhwalimu baba lao si mngesema pia haki ndiyo imetendeka?
Hatutaki haki kwa ridhaa ya mtu na muda anaotaka yeye. Hatutaki haki nusu nusu. Tunataka haki kamili na hiyo ndiyo inayotupa nguvu, uthubutu na utayari wa kuilipa gharama yote inayohitajika ili kuipata:
Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...www.jamiiforums.com
Haki ni kwa mujibu wa katiba.
Hivi mnatuona je lakini?
Mmeambiwa chanjo ni HIARI, sasa mambo ya kumuunga mkono Rais Samia yanatoka wapi? Au watu hamjui maana ya neno hiari 🤔
Kuandika ukiwa umejificha nyuma ya keyboard na fake id ni rahisi sana, ishu inakuja kwenye kutake actions mstari wa mbele, hapo ndipo makamanda huwa wanaanza kusingizia wananchi wa tz wamelala, nyie siyo wananchi? Babu wa loliondo ni kama wafuasi wa "vibwetere" tu, sikio la kufa, hata uwaambie nini hawakuelewi, wameshamezeshwa takataka kwa brain zao.
Wewe unaamini Tanzania tuna mahakama katika maana ya mahakama? Mahakama gani inayofanya kazi kwa kuelekezwa na Rais?Kumuunga or kutomuunga mkono ni haki yako. Huwezi ukaongoza watu mil. 60 na ukawafurahisha wote, ndani ya familia tu ya watu wasiozidi 5 kunakuwa na mifarakano. Vilevile eleweni kwamba huyo Mwamba wenu siyo malaika, ukiachilia mbali nafasi yake ya kisiasa, lakini naye ni binadamu kama wewe na anatenda makosa yote ya kibinadamu. Acheni mahakama ifanye kazi yake, Mahakama ile ile iliyomtoa Mdude na kuwarudishia CDM hela zao za faini ndiyo itamuhukumu kwa haki bwana Mwamba, sielewi hizi kelele zote mnazitoa wapi wakati Mwamba yupo katika mchakato wa mahakama unaotambuliwa kikatiba.
Tz kwa nini watu watumie feki ID???
Rais ajiulize kwa nini watu wanaogopa kusema ukweli Tz??? Jambo baya sana!! Yeye alimwogopa Magufuli ndiyo maana hakujiusulu!! Majaliwa naye aliogopa!! Spika naye aliogopa ndiyo maana sasa kidogo anageuka!! Legislature iliogopa!!! Waandishi wa habari waliogopa!!!
Ndiyo maana nchi imekwenda kombo!!!
Safi kabisa unakuwa inspired na science behind vaccine siyo haya matakatakàJ3 tuna jambo letu. J4 pia tuna jambo letu kulingana na maelekezo ya wizara ya afya.
Hata hivyo wengi wetu tuliipigania hatua hii, wakati SSH na mwendazake wakifanya porojo zao kuhusu ugonjwa huu. Hivyo katu asituhesabu kuwa tutakuwa tumejitokeza kumwunga mkono yeye kwa lolote kuhusiana na hii chanjo.
Ni vizuri pia akafahamu kuwa hata kama asingekuwa kachanjwa sisi tungechanjwa tu.
Vile vile asisahau ukakasi aliotuletea kutokea kwenye kadhia ile ya Mwanza, hapo ndiyo kabisa ametukata stimu!
"J4 nitachanjwa. Ila tafadhali Mama SSH usinihesabu katika list ya watakaokuwa wamejitokeza kuchanjwa eti kwa kuwa umewa 'inspire.' Kwa hakika isingekuwa kwa hali ya huu ugonjwa ilivyo, tungehamasishana dhidi yako."
Niliweke hili wazi, "nilikuunga mkono sana, lakini si baada ya siku zako 100 ofisini, na hasa ulipokuja kutuonyesha rangi zako halisi ulizokuwa bila shaka umezificha."
Nitakuwa mnafiki mno kwa kutokukupa ukweli huo kinagaubaga.
Kumbuka msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.
Habari ndiyo hiyo.
Kama jina lakoUmeandika takataka tupu
Stupid wewe uko wapiKuandika ukiwa umejificha nyuma ya keyboard na fake id ni rahisi sana, ishu inakuja kwenye kutake actions mstari wa mbele, hapo ndipo makamanda huwa wanaanza kusingizia wananchi wa tz wamelala, nyie siyo wananchi? Babu wa loliondo ni kama wafuasi wa "vibwetere" tu, sikio la kufa, hata uwaambie nini hawakuelewi, wameshamezeshwa takataka kwa brain zao.
Safi kabisa unakuwa inspired na science behind vaccine siyo haya matakatakà