Umeletaaaa baba kipara uchebe umeletaaaaaaaButiama au Buchosa?? Habari ina mchanganyiko.
Nikisikia Buchosa nakumbuka "niliahidi tisheti, nimeleta sijaleta"
Kapeleka pia viti na maturubai viwasaidie kwenye shughuri mbalimbali.Butiama au Buchosa?? Habari ina mchanganyiko.
Nikisikia Buchosa nakumbuka "niliahidi tisheti, nimeleta sijaleta"
hapa anamsema SHIGONGO!hujanywa CHAI
so BUCHOSA au BUTIAMA
Mfumo umeshamkataa huyu. Huruma ni Dr Mahera Yule wa Tume 'Huru'Wakuu,
Mchakato wa uchukuaji fomu unaendelea
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Abdallah Sagini amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge kwa awamu ya pili kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Butiama Mary Kananda jana Juni 28, 2025.
View attachment 3387906