Jumapili hii imepoa sana bora nikajinywee dabo kick zangu nitulie

Ungekuta usha,tapika,nyongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nahisi ningetapika hadi firigisi jamani😅😅
 
Ukasema huyu mwanamke atakuwa mafia[emoji28][emoji28][emoji28]hapana aiseh..
Nikawazaa nikasema sura si itakuwa ime chakaa sana maana kama mtu ana lamba v 5 isee hapana wakati mimi mwenyewe pamoja na maisha kubadilika ila kimoja chenyewe kazii.

Ila siaiz nimeachaa ni revella tu week end yangu inaenda na mziki taratibuu.
Hongera kama hutumia
 
Hongera aiseh
 
Hahahaha, pombe na kunywa sana ila bia au konyagi sio hizo double kick sijui puch ,NO

Hapa yenyewe Niko bar nalewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooooo kumbee..nilijua hunywi kabisa..

Lakini nasikia nyagi na hizo dabo nini sijui zinafanana.ni kweli!

White spirits zilishanishinda kabisa lkni cha ajabu juzi nimedandia Gilbey ya mtu ilikuwa poa sana..😅😅😅jamani...

Mpka mda huu unalewa!!chief hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…