Jumapili hii misa yangu naenda kusali kwa Mchungaji Gwajima

fugees

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
2,868
Reaction score
883
Nimeshaapa hakuna kitakachonirudisha nyuma kama M/Mungu akipenda. Natarajia yafuatayo:-
.kuwaona wageni watarajiwa kutoka ki
jiji anakotokea huyu bwana (kiumbe)
. Pia natajia ile story ya vyeti ndio wakati wake
.pia mwalimu wa bashite atakuwepo kutoa shuhuda.


Nani atakuepo kwa mchungaji tuonane pale.?
 
uwahi mkuu ukae karibu ili utukeletee prove ya kilichojili
 
mkuu basi chakufanya kama unataka kuwa na Gwajima nadhani kitu cha fasta fasta kuarakisha kwenda ni kumkosoa mkulu
[emoji3][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3]
 
Bashite kamkamata leo ijumaa lengo asiwepo kanisan jumapili, bashite atamuachia baba mchungaji wiki ijayo.Hii weekend yote baba askofu atakuwa selo.
 
Tutakuwa wote mkuu maana nimesafiri kutoka Mbeya kwa ajili ya kuja kushuhudia hilo.
 
[emoji2] [emoji3] [emoji3]
 

Wajinga ndiyo waliwao, peleka sadaka umwongezee utajiri, maana imeandikwa: "aliyenacho huongezewa" au maji hutiririka palipo na maji mengi (bahari au ziwa).
 
Koromoje inazidi kupata umaarufu kila siku...
 
Poa tu mkuu wewe kamshuhudie mungu wetu hapo kwa Gwajima j2.
 
Inaitwa "Call me J" yaani Kolomije
 
mafuriko yanazuiwa kwa viganja vya mikono ?!
 
Misa? Ivi Gwajima anasalishaga Misa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…