mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
TunaWajinga ndiyo waliwao, peleka sadaka umwongezee utajiri, maana imeandikwa: "aliyenacho huongezewa" au maji hutiririka palipo na maji mengi (bahari au ziwa).
Tunatoa sadaka zetu kwa Mungu na kwa furaha sana! Wewe pia hutoa sadaka! Tofauti tu ni kwamba wewe hutoa sadaka zako aidha kwenye bar au kwa wanawake makahaba, au kwa waganga wa kienyeji nk.Wajinga ndiyo waliwao, peleka sadaka umwongezee utajiri, maana imeandikwa: "aliyenacho huongezewa" au maji hutiririka palipo na maji mengi (bahari au ziwa).
Hashikiwi panga. Anatoa kwa upoolee huku anapata tumbuizo la kwaya akiwa anatikisa kichwa kukiri utoaji. [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wajinga ndiyo waliwao, peleka sadaka umwongezee utajiri, maana imeandikwa: "aliyenacho huongezewa" au maji hutiririka palipo na maji mengi (bahari au ziwa).
Kwa utajiri wa Gwajima na sadaka yangu buku 2 ni sawa na kurusha mchanga baharini alaf uutafte...Wajinga ndiyo waliwao, peleka sadaka umwongezee utajiri, maana imeandikwa: "aliyenacho huongezewa" au maji hutiririka palipo na maji mengi (bahari au ziwa).
Sikutanii utanikuta chini ya mti wa MMUUsitanie unajua
hapanakwani na wageni nao wameenda central???
Nimeshaapa hakuna kitakachonirudisha nyuma kama M/Mungu akipenda. Natarajia yafuatayo:-
.kuwaona wageni watarajiwa kutoka ki
jiji anakotokea huyu bwana (kiumbe)
. Pia natajia ile story ya vyeti ndio wakati wake
.pia mwalimu wa bashite atakuwepo kutoa shuhuda.
Nani atakuepo kwa mchungaji tuonane pale.?
Nimeshaapa hakuna kitakachonirudisha nyuma kama M/Mungu akipenda. Natarajia yafuatayo:-
.kuwaona wageni watarajiwa kutoka ki
jiji anakotokea huyu bwana (kiumbe)
. Pia natajia ile story ya vyeti ndio wakati wake
.pia mwalimu wa bashite atakuwepo kutoa shuhuda.
Nani atakuepo kwa mchungaji tuonane pale.?