Jumapili hii nimeamua niende kutembea Misungwi Hasa pale Koromije.

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Mi nimezaliwa Mwanza na sikuwai kufika Misungwi. Leo nimeamua kwenda kutembea uko Misungwi.
Ninania ya kukutana na wananzengwe ili nijue historia ya Daudi Bashite. Nimechoka kusikia habari za mtandaoni. Sasa naenda kujihakikishia mwenyewe.

Nimejipanda hata kuchukua na picha pamoja na kurekedi mahojiano ntakayofanya na wananzengwe.

Nitawaletea Updates muda si mrefi nimekaribia kufika.


4:00 nimefika ndyo nmefika hapa shule koromije
 
Habari za kiuchunguzi. Very important and rarely recently
 

Futa neno Kolomije ni tusi kulingana na Breaking news ya Leo toka kwa Nape wa Nnauye
 
Loading.............................
 
Inabidi sehemu zote za kuingilia koromije kuwekwe mageti ili yakusanywe mapato maana nahisi pameshakuwa tourists destination
 
Hata ukifika huko,, ukapata na Habari za huko bado utaziacha huko huko,,

Msimamo wa huku Mujini ni kwamba kijana amefiti ktk nafac yke. Maana ametenda maajabu ambayo hata wenye Degree na PhD wameshindwa kabisa.
 
Unatupa update au waoga kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…