amadala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,265 Reaction score 12,268 Nov 8, 2022 #21 malimi katoro said: Wee na mkeo mnashida Nimevunja kibubu muda huu nimekuta 2,000 na mke wangu anasema hela hajui ilipo! Click to expand... Kumbe alishavunjaga kibubu akakuta 2,000 daah kinyamkela mahaba kwa kweli tuwaache TU na huyo mkeo mnajuana wenyewe
malimi katoro said: Wee na mkeo mnashida Nimevunja kibubu muda huu nimekuta 2,000 na mke wangu anasema hela hajui ilipo! Click to expand... Kumbe alishavunjaga kibubu akakuta 2,000 daah kinyamkela mahaba kwa kweli tuwaache TU na huyo mkeo mnajuana wenyewe
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Nov 8, 2022 #22 Akili za kitoto sana hizi.