Jumapili ya supu jangwani

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Klabu ya Soka ya Yanga Sc, imeandaa sherehe fupi ya kuburudika na mashabiki wa Klabu hiyo kwa kunywa supu makao makuu ya Klabu hiyo yalioko Kariakoo mtaa wa Jangwani

Akizungumza na waandishi wa Habari Afisa Habari wa Yanga Sc Ally Shabani Kamwe, amesema kuwa wameandaa hafla hiyo fupi kwa lengo la kupata burudani ya pamoja na mashabiki wao siku ya jumapili ya wiki hii

Kama itakumbukwa mapema wiki iliyopita kabla ya mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga, Chama Cha Mapinduzi kupitia kwa Katibu Mwenezi wa NEC Mh. Paul Makonda, kilitoa ahadi ya kununua kila goli litakalofungwa katika mchezo huo kwa timu itayoshinda mchezo ambapo Yanga aliibuka na ushindi wa goli 1-5

#KishambaUPDATES

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Tengezeni jezi/flana za 5G muuze kuinua uchumi wa club, sio kufikilia supu tu
 
Hatukosi hapo.
 
Alisema kila goli shs ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…