let's wait 😊Mimi more honey...
Tuendelee kumsubiri takuwa bado kalala maana jana alikuwa viwanja
anzisha baas wa jmatatu.[emoji2957]Hebu tuache huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mlevi i miss youBado hali ni ile ile mbaya na Leo alhamisi ?
Miss you too mimachomlevi i miss you
yatarud soonMiss you too mimacho
Halafu rudisha Yale macho hapo kwa avatar
sasa nilisema jumapili ndo ilikua siku mbaya aisee hii ya leo ndo mbaya plusWooozaaaah
acha tuu 😂😂daahNini kimetokea mama..
Duh,pole sana Rafikisasa nilisema jumapili ndo ilikua siku mbaya aisee hii ya leo ndo mbaya plus
Chakorii...[emoji23]...umeanzaWe baba Fred hebu tulia[emoji23][emoji23]