technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hizo timu hazina maana kwa sasa zinatumika kisiasa kupumbaza watuJumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi
Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election
Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu
Kwamba bila reform hakuna uchaguzi
No reform no Election!!
Tanga mlienda na T+shirts za hamchezi mlifukuzwa je huko kwenye ndanda KosovoJumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi
Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election
Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu
Kwamba bila reform hakuna uchaguzi
No reform no Election!!
Hawataruhusiwa kuingia nayo, badala yake yafichweJumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi
Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election
Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu
Kwamba bila reform hakuna uchaguzi
No reform no Election!!
tutavaa mbili, ya no reform ndaniHawataruhusiwa kuingia nayo, badala yake yafichwe