Jumatatu ya leo nimeanza kwa kumnenea yaliyo mema mke wangu kwani ndiyo uungwana!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu, hakika u mzuri! Macho yako ni kama ya hua nyuma ya shela lako, nywele zako ni kama kundi la mbuzi washukao katika milima ya Gileadi. Meno yako ni kama kondoo majike waliokatwa manyoya wanaoteremka baada ya kuogeshwa.

Kila mmoja amezaa mapacha, na hakuna yeyote aliyefiwa.
 
Hajanuna kweli umemfananisha na mbuzi mara kondoo walokatwa manyoya? wanawake sie tunajijua bora ungetafuta Verse za kina west life ila hizo wala anaweza asifurahi.
Yan nimuimbie nyimbo za westlife amkumbuke mpenzi wake wa kwanza.... #NEVER.. bora tuendelee na habari za kondoo na mbuziπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Naomba kuwasilisha
 
Utakuwa ulilala kwa mchepuko wikiendi na pesa umemaliza zote
 
yan nimuimbie nyimbo za westlife amkumbuke mpenzi wake wa kwanza.... #NEVER.. bora tuendelee na habari za kondoo na mbuziπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Naomba kuwasilisha
Kabisaa.Kwanza hapo unapiga ndege wawil kwa jiwe moja.Mnaweza anza hata kuwaza ufugaji wa kondoo au mbuzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabisaa.Kwanza hapo unapiga ndege wawil kwa jiwe moja.Mnaweza anza hata kuwaza ufugaji wa kondoo au mbuzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu mtawaza jumapili
 
Mme Bora ufaa kuigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…