Jumatatu ya mwanzo wa mwezi na hangover za weekend

Jumatatu ya mwanzo wa mwezi na hangover za weekend

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
Ukiachilia mbali yale ya yule bi dada mwenyekiti kule kwenye jumba vikao vya kaya.

Wakuu kwa wale mlioutwangwa mtindi weekend hii ukizingatia ilikua ya mwisho wa mwezi tukumbushane tu hata kama tuna mning'inio wa maana tuamke tukasake dooo.
 
Ukiachilia mbali yale ya yule bi dada mwenyekiti kule kwenye jumba vikao vya kaya
Wakuu kwa wale mlioutwangwa mtindiweekend hii ukizingatia ilikua ya mwisho wa mwezi...TUKUMBUSHANE TU HATA KAMA tuna mning'inio wa maana tuamke tukasake dooo
Hivi siku hizi kumbe mtindi unalewesha?

Au mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu?
 
Jumatatu asubuhi huwa inarudisha akili kichwani.

Kama ingekuwa kila wakati ni jumatatu asubuhi, tungekuwa mbali sana kimaendeleo.

Huu ndio wakati wa kujutia pesa zote zilizochezewa week end, na kuset mipango mipya, bahati mbaya ikifika alhamisi naanza tena kuiwaza weekend!.
 
Back
Top Bottom