Jumba la kifahari la tajiri bilionea wa kihindi Mukesh Ambani

Vipi kuhusu ulinzi, usalama, vitu vilivyopo ndani
Hapo ujue kuna Fursa ya Ajira ya kazi za Ulinzi na Usalama ikiwa ni pamoja na ununuzi wa kamera au vifaa vya kuimarisha ulinzi na usalama; usafiri ndani ya jengo e.g. Lift na rolling stairs, mfumo wa mawasiliano ndani ya jengo etc.
Je, amejiandaaje endapo mgeni rasmi asiyealikwa i.e. Umauti atamfikia ghafla?
 
Mkuu hilo jengo lina majengo 27 za gorofa ila kwa urefu wa jengo ni kama urefu wa gorofa 60
Kuna bustani kila gorofa, gym, swimming pool, cinema yaani raha zote zimo
Parking za magari pia
Nililisoma zamani nafikiri wajenzi walitoka Amerika
 
Du nikajua ulimuibukia kumtembelea ukayajua hayo
 
Du nikajua ulimuibukia kumtembelea ukayajua hayo
Mkuu nimeenda India mara 2 wala sio issue kusafiri ila hilo jengo sijafika bado
Nilisoma tu habari zake kwani ili trend sana kwa sababu ndio mjengo ghali duniani
Ila sio gorofa 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…