Jumba la msanii Jux

Jumba la msanii Jux

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Msani mahiri wa bongo flava Jux leo amepost mjengo kwenye account yake ya instagram na kuandika amekamilisha ndogo yake kubwa ya utoto hii inamaanisha sanaa ya muziki inafaidisha sana wasanii wanaojituma. Karibu tuchangie maoni.

attachment.php
 

Attachments

  • jux .png
    jux .png
    180.1 KB · Views: 5,455
Akuna lolote...
Safari zake za china kila siku,anatafuta nini kule...!!???
Naunga mkono hoja, itakua sembe tu iyo akwende zake..
Nyimbo zenyewe zinafungiwa na BASATA (uzuri wako)
 
kumbe dadamond ni masifa ya kijinga tu kwenye media hela hana kumbe kuna vijana wana hela hiyo nyumba ni kama ya ay au ya alikibaka
 
Nyumba iko wapi hii mbona kama ndiyo anaanzisha mji hata miundombinu hakuna?
 
Jux big up...wakojoe wakalale..watu walifikiria domo ndio mwenye mjengo wa maana...mnamkumbuka MIMS alitoka na hit song moja tu this is why i'm hot...mliona mjengo wake kwenye mtv cribs...
 
Ni hatua nzuri Kama mtu anaweza kujenga kwa nyimbo 3 na bila kuhit kwenye soko la mziki wa kibongo.

Baba yao Dimond hana kama hiyo sembuse yeye na nyimbo zake tatu tu

kumbe dadamond ni masifa ya kijinga tu kwenye media hela hana kumbe kuna vijana wana hela hiyo nyumba ni kama ya ay au ya alikibaka

jamani kujenga akili ya mtu iwe katoa nyimbo moja au album sita au muuza ngada
kuna watu wana vipato vikubwa vya halali tena but they own nothing wanaona fakhari kushow off magari kila toleo na starehe za kijinga
jiulize we kwa kipato chako una mafanikio gani
kuna watu walinzi tu wanamiliki nyumba ila anaelindwa mpangaji
 
Kwa kupost insta,utasikia "mjengo wangu mpya kumbe wapi mmepanga" by Stamina ft Ney wa Mitego
 
Back
Top Bottom