Kama ni sembe kweli ndio atulie sasa maana mwisho wa siku watalalia wengine yeye akalala kwenye majengo ya @serikali
Ni hatua nzuri Kama mtu anaweza kujenga kwa nyimbo 3 na bila kuhit kwenye soko la mziki wa kibongo.
Baba yao Dimond hana kama hiyo sembuse yeye na nyimbo zake tatu tu
kumbe dadamond ni masifa ya kijinga tu kwenye media hela hana kumbe kuna vijana wana hela hiyo nyumba ni kama ya ay au ya alikibaka