Inaonyesha anaeneo kubwa la uwanja
watz bana mulianza jamaa freemason haikufua dafu,mukasema jamaa analoga haikusaidia kumwangusha mara jamaa anaiba kazi za watu bado yupo,na sasa munalazimisha kumwangusha kwa kumlinganisha na kibba na bado jamaa yupo imara nyinyi munaangaika kumchafua yeye anapiga kazikumbe dadamond ni masifa ya kijinga tu kwenye media hela hana kumbe kuna vijana wana hela hiyo nyumba ni kama ya ay au ya alikibaka
Ni hatua nzuri Kama mtu anaweza kujenga kwa nyimbo 3 na bila kuhit kwenye soko la mziki wa kibongo.
Kwa mziki upi alioufanya jux na kwa wimbo upi zaidi ya NITASUBIRI?Haya endeleeni tu kujenga wakati mtaani mnaendelea kuharibu vijana na drugs.
Kama ni sembe kweli ndio atulie sasa maana mwisho wa siku watalalia wengine yeye akalala kwenye majengo ya serikali
juma jux ni mtoto wakishua plus anachopata kwenye music.....
Ni hatua nzuri Kama mtu anaweza kujenga kwa nyimbo 3 na bila kuhit kwenye soko la mziki wa kibongo.
Mie siujui wimbo wake hata mmoja
Changa la macho..Muziki unalipa now!
juma jux ni mtoto wakishua plus anachopata kwenye music.....
Ngada inalipa.