Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,893 Reaction score 4,641 May 25, 2023 #1 Binafsi hakuna ujumbe nauchukia kama ule wa "Ndugu mteja, umetumia 75% ya kifurushi chako". Huu ujumbe huwa unanikata sana yani. Je, wewe ni ujumbe gani huwa unakukera kutoka kwenye hii mitandao yetu ya mchongo? Funguka hapa.
Binafsi hakuna ujumbe nauchukia kama ule wa "Ndugu mteja, umetumia 75% ya kifurushi chako". Huu ujumbe huwa unanikata sana yani. Je, wewe ni ujumbe gani huwa unakukera kutoka kwenye hii mitandao yetu ya mchongo? Funguka hapa.
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 6,581 Reaction score 11,572 May 25, 2023 #2 Pesa ni M-Pesa na mfukoni hakuna pesa.