HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini,
Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya jumbe 20.
Kulingana na sheria ya mitandao huu ni usumbufu na kuingilia uhuru wa mteja kwani makampuni ya simu yanalipwa fedha kwaajili ya matangazo hayo je sisi wamiliki wa simu tunalipwa nini?je, tumenunua simu kwaajili ya kunufaisha serikali na makapuni ya simu wakati sisi tunalipia umeme,simu,line,nk?
Tunaomba TCRA kuliangalia jambo hili kwani limekuwa kero ikibidi kila kampuni ya simu iweke option ya kukubali matangazo au kuyablock.
Narudia ni kero na kwa upande wa wamiliki wa simu hii ni hela tujenge utamaduni wa kuyashitaki makampuni haya na serikali kwa usumbufu huu hasa unapotumiwa jumbe ambazo huna ridhaa nazo.
Soma Pia: Umeshawahi kupokea matangazo ya kubeti na hujawahi kuomba huduma zao? Unajua pa kushtaki ulipwe kwa wizi huo wa taarifa zako?
Asanteni.