joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hivi kwa hali ya kawaida hayo makampuni ya Kenya yaliyowekeza Tanzania kweli ni makampuni au ni mama ntilie? Kwa wastani wa jumla ya hiyo idadi ya makampuni na hiyo pesa iliyowekezwa, kila kampuni mtaji wake ni sawa $2500, haya ni makampuni au Saccos?[emoji23
Wakati huohuo wachina wanajenga Kiwanda kikubwa cha Cement huko Tanga,uwekezaji wake utagharimu $1.3B, hii maana yake ni kwamba kampuni Moja la China ni zaidi ya makampuni 524 ya Kenya, hapa nani ni muwekezaji na nani ni juakali?][emoji23][emoji23]
Tony254
dyfre
Don YF
NairobiWalker