joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hadi walanguzi wa vitunguu kule kiteto nao wanaingia kama kampuni...kwahyo anachukua mzigo fuso mbili zinaenda nbo akimaliza anarudi tena[emoji1787][emoji1787] Anyway tuwaache maana sisi ndio tunafaidi zaidiHivi kwa hali ya kawaida hayo makampuni ya Kenya yaliyowekeza Tanzania kweli ni makampuni au ni mama ntilie? Kwa wastani wa jumla ya hiyo idadi ya makampuni na hiyo pesa iliyowekezwa, kila kampuni mtaji wake ni sawa $2500, haya ni makampuni au Saccos?[emoji23
Wakati huohuo wachina wanajenga Kiwanda kikubwa cha Cement huko Tanga,uwekezaji wake utagharimu $1.3B, hii maana yake ni kwamba kampuni Moja la China ni zaidi ya makampuni 524 ya Kenya, hapa nani ni muwekezaji na nani ni juakali?][emoji23][emoji23]
Tony254
dyfre
Don YF
NairobiWalker
@Tony254Hadi walanguzi wa vitunguu kule kiteto nao wanaingia kama kampuni...kwahyo anachukua mzigo fuso mbili zinaenda nbo akimaliza anarudi tena[emoji1787][emoji1787] Anyway tuwaache maana sisi ndio tunafaidi zaidi
We never claim that we control Kenya's Economy. But in term of invested capital per company, Tanzanian companies have higher capital than Kenya, can you imagine 524 companies only $1.2B, are you really serious?[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nyie na hizo kampuni zenu 34 mmewekeza hela ngapi nchini Kenya? Wakenya wametupiga bao sana kwenye uwekezaji nchini