JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025

KIJICHO PEVU

Member
Joined
May 4, 2024
Posts
69
Reaction score
49
JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025

idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50 mwezi MACHI 2025 hadi kufikia bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 6.

Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Juni 2025 inaonesha kuwa Mwezi Juni 2025 ulikuwa na idadi kubwa ya SMS ikilinganishwa na miezi mingine kwenye kipindi husika.

Ripoti hiyo hutolewa kila robo mwaka kwa lengo la kuonyesha mwenendo wa ukuaji wa sekta ya mawasiliano na inapatikana pia kupitia tovuti ya TCRA www.tcra.go.tz

Tembelea tovuti ya TCRA (www.tcra.go.tz), au kupitia kiunganisho https://bit.ly/44tXbii ilikupitia ripoti kamili ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano (Aprili - Juni 2025).

#tcratz #statistics #tanzania #stakeholders #communications
 

Attachments

  • IMG-20250719-WA0022.jpg
    143.6 KB · Views: 39
Hapo sms Bilioni 45 utakuta ni umalaya tu wa watu kutongoza wake za watu na kulana na kuelekezana lodge zipo wapi ,zilizobakia ni kuombana hela, utapeli,rushwa na wizi wizi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…