SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
Hellow guys.
nadhani hii tamthilia inarudiwa ila kwa bahati mbaya sikupata kuiona...
nikapata uchizi nikawa kila jumamosi asubuhi nafatilia marudio na hata kibaruani siendi...
Ghafla hawa jamaa si wakabadili ratiba yao... yaani wamechanganya hata haieleweki..
so kama kuna mpenzi wa hii kitu au kuna mtu anataka kuirudia, pia kuna tamthilia nyingine kama hiyo utazipata ndani link hii hapa chini.
Jumong | Watch Jumong Korean Drama Online
au kama unataka kupata Summary ya Tamthilia nzima pia hii hapa
Filipina Soul » JUMONG – EPISODE SUMMARIES
CAPITAL TV sucks!!!!! nipo kwenye ya episode ya 50 sasa na kuna episode 81 hivi...wapo kwenye ya 30 hivi..
Kama unataka kudownload... tumia Program ya IDM Idm - Download chagua kati ya hizo.
lol have fun. kama ushawahi kuiona au hauipendi....IPOTEZEE.
Cheers wakuu!!!