Jumu la Picha za Wazalendo Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

Jumu la Picha za Wazalendo Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
JUMU LA PICHA ZA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WENGI WAO MCHANGO WAO HAUFAHAMIKI

Picha hizo ni za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika wengine kwa mali walizojaaliwa na wengine kwa kukosa mali walipigania uhuru kwa hali zao.

Wengi wao hawatambuliki wala hawafahamiki.

Huu ni msiba usio na kifani.

Nimeweka picha zao na ni za wale ambao nimeweza kupata picha zao.

Wengine wako katika picha za jumla ndani ya kundi.

Atakae kujua mchango wa yeyote katika hizi picha aweke picha yake kisha aniulize anachotaka kufahamu kuhusu mzalendo huyo.

In Shaa Allah nitajaribu kueleza historia yake nini amefanya katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Picha zipo katika link hapo chini:

 
Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
 
Back
Top Bottom