Amnesty international wameendelea kutoa ripoti ya kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini. Hivi karibuni pia Democracy Union of Africa (DUA) imetoa kauli juu ya ukiukwaji wa haki unaendelea nchini.
Hii inaonesha jumuiya za kjmataifa zinaelewa kinachoendelea.