Jumuiya nyingi asubuhi ni za umbeya na kusambaza sumu katika jamii

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
393
Reaction score
615
Niligombana na jirani yangu baada ya kujenga mpakani.

Kilichotokea nilimwambia abomoe na hakubomoa. Nikamuacha, nimemuacha hadi sasa. Nasubiri afanye maamuzi yake.

Cha ajabu naambiwa na watu walihudhuria jumuiya naona kuna majadiliano ya mimi nikubali ajenge.

Sipendi jumuiya ni upumbavu.
 
Nimetoka kusoma uzi sio muda mrefu jamaa analalamika wameenda jumuiya na kusumbuliwa na mama mji ambae ni muesidiei 😂😂😂
 
Niligombana na jirani yangu baada ya kujenga mpakani.

Kilichotokea nilimwambia abomoe na hakubomoa. Nikamuacha, nimemuacha hadi sasa. Nasubiri afanye maamuzi yake.

Cha ajabu naambiwa na watu walihudhuria jumuiya naona kuna majadiliano ya mimi nikubali ajenge.

Sipendi jumuiya ni upumbavu.
Sasa hauoni kwamba hiyo ni faida mojawapo ya jumuiya? Kuleta upatanishi miongoni mwa wanajamii?
 
Back
Top Bottom