Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa nchi wanachama hawatimizi hoja za kimuungano 100%. Sababu ni nini?

Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa nchi wanachama hawatimizi hoja za kimuungano 100%. Sababu ni nini?

Joined
Sep 11, 2023
Posts
8
Reaction score
4
Niwasalim kwa jina la (J.M.T) ktk umoja huu wa E.A.C Kuna hoja nyingi za KIMUUNGANO mfano:

DHIMA YA KUUNGANISHA NCHI WANACHAMA UHURU WA KIBIASHARA ISIYO NA MIPAKA.

* Tumeona nchi WANACHAMA Wana zuia bidhaa nchi moja kwenda nyingine sababu wanazotoa Ni Kama mpaka uwe na kibali maalum

* Mfano changamoto tuliyo pitia Tanzania hapo nyuma ya sukari, isinge fikia mpaka serikali kuingilia Kati kuanza kuangaika na vibali vya kuingiza sukari

#unadhani Ni sababu hipi inakwamisha kuwepo kwa Uhuru wa kibiashara 💯% kwa nchi WANACHAMA ili kuinuana kiuchumi?
 
Labda kila nchi inafikiri itauwa viwanda vya ndani na kupoteza ajira & kodi
 
Back
Top Bottom