Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
- Thread starter
-
- #21
Mkuu,Tanzania ni nchi na eneo lake ni eneo lote la Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Ndani ya Tanzania kuna nchi ya Zanzibar? Nchi hii ina Raisi, Mahakama, Baraza la Wawakilishi etc.
Mkanganyiko wa ajabu. Kila kitu kiko wazi lakini hakuna anayechukua hatua kukubali lawama za mkanganyiko huo.
Tanzania ni nchi na eneo lake ni eneo lote la Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Ndani ya Tanzania kuna nchi ya Zanzibar? Nchi hii ina Raisi, Mahakama, Baraza la Wawakilishi etc.

Kwenye gazeti la Guardian la tar. 20/4/2011 ukurasa wa mbele kuna picha yenye maneno yafuatayo....
'Heads of EAC partner states stand attention as their national anthems are played at the start of the 9th extraordinary summit in DSM yesterday. From L are President Yoweri Museveni of Uganda, Mwai Kibaki of Kenya, Pierre Nkurunzinza of Burundi and J. Kikwete of Tanzania. With them are Rwanda Prime Minister Bernard Mukuza and Zanzibar President Dr. Ali Mohamed Shein'....
Najiuliza, je Dr. Shein ameenda kama mualikwa au msikilizaji? Nafasi yake katika hicho kikao ni ipi?
Je, kiitifaki nani anaanza kwenye mpangilio wa kukaa na kutajwa, Raisi au Waziri Mkuu? Iweje Waziri Mkuu wa Rwanda akae kabla ya Raisi wa nchi? Au ndio confirmation kwamba Dr. Shein alialikwa tu?
Mwenye uwezo wa kutufahamisha tusiojua ushiriki wa Dr Shein kwenye kikao hicho atufahamishe.
Natanguliza shukrani.