Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) limewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Wito huo umetolewa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo, akihimiza Watanzania kuchukua jukumu lao la kidemokrasia kwa kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura na kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika jamii zao.
Soma: Askofu Dkt Shoo: Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi ni muhimu kwa Maendeleo ya Nchi