LGE2024 Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) watoa wito wananchi kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) limewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Wito huo umetolewa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo, akihimiza Watanzania kuchukua jukumu lao la kidemokrasia kwa kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura na kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika jamii zao.
Your browser is not able to display this video.
Soma: Askofu Dkt Shoo: Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi ni muhimu kwa Maendeleo ya Nchi
 
Hao walisha kua machawa hamna kitu si huyu Shoo ndo aliopewa ufadhiri wa 500m na Raisi unategemea ataongea nini?
 
safi sana kanisa la Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…