Baharia ni muhimu kujua Kupika ili usiwe chambo wa kuwahi kuoaView attachment 1194487
Uliochanganywa na Unga wa UDAGAHao wakikaangwa afu unawagonga na ugali wa dona
Nahisi hujaelewa ni mabaharia gani wanaongelewa hapa pole mkuuMshatapeli ela za watu miaka kibao hapo avalon house afu mnazingua et hakuna baharia tapeli.watu wana miaka saba wanadubiria kazi hakuna et utaskia mtu anakwambia mwali tusha mchukua bado kumvua nguo tu kina dede hao na kuna mtu aliitwa mwanasheria.mm binafsi nishatoa ela hapo zaid ya laki tano kwa kushikwa maskio eti mtaenda kwenye rig mshahara kwa siku dola 250 lakin hamna hata mtu amepata kazi.na kama kunabaharia yupo kwenye jumuia hii namshauri awe baharia wakujitegemea kama mm.nishapata safari mbili toka nimeachananahao jamaa na mpaka sasa naandika uzi huu sipo nyumban.na naimaind sana jumuhia ya mabaharia kwa kuwadanganya watu.
Solidality......
Nahisi hujaelewa ni mabaharia gani wanaongelewa hapa pole mkuu
Mkuu shilingi ngapi?View attachment 1191649
Mabaharia mje tuungishane.
Hii sio mizigo ya kukosa geto kabisa.[color]
Cc Unforgetable
Tumia akili angalia picha aloweka kwenye uzi ww siyo baharia ungekuwa baharia ungeelewa usichanganye ubaharia na usela.Nahisi hujaelewa ni mabaharia gani wanaongelewa hapa pole mkuu
Aiseee kwahiyo mabaharia hatuna hela?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]View attachment 1198068
ππ kiss daniel πππππππππππView attachment 1198068
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]View attachment 1198068