Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

Mabaharia fake utawajua tu......kazi kuji proud tu, Mabaharia Mabaharia sisi tumeona manyambizi sembuse nyie vibaharia vibamia wakaa makwao..
 
na hawa wanaoishi kwa kutegemea ku- bet nao pia ni mabaharia?
 
Baharia hata kama upo iringa, makambako au njombe lazima uogee maji ya barafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…