JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Atleast huu mwaka wetu.
Enheee..!! Kama kawaida yetu... !! Wakati anasotea wala hatukumjua, ila akishatoboa sasa ndo viherehere vinatupandaHongera sana, tunamsubiria akitua tu breki ya kwanza majengoniš¤£
Kenya wako aware na hii michezo, KCB inaonyesha Olympic, saa tano baadaye wataonyesha live wanariadha wao wa mbio fupiTv zetu zinazojiita super brand zimeishia kuonyesha bongo fleva
Wanajeshi wameamua zamu hii kwenye ngumi ,hata kidunda naye kafanya maajabu juzi , siyo kama raia hawa wa kawaida kama kina MandongaBabake naye alikuwa kocha wa timu ya Ngumi mkoa wa Mwanza Meja Changalawe alikuwa Ofisa wa jeshi kambi ya Nyegezi.Sina uhakika kama alishastaafu Jeshi au bado .Wakati anafundisha timu ya mkoa wa Mwanza alikuwa na cheo cha Meja.
Birmingham aliyoahidi mkono wa baunsa ni ya Marekani,hii ya mashindano imo Uingereza.Daah! tena mashindano yanafanyikiwa Birmingham...?
Gwajima asingeleta siasa kwenye utekelezaji wa aliyowaahidi wapiga kura wake,bondia Changalawe angepata washabiki wa kutosha huko anakopambania medali,all in all kudosi kwa Changalawe.Mandonga aje ale kozi fupi,Changalawe akitua Bongo.
Mandonga Mtu KaziTusijiloge kumpeleka mandonga
Kazi iendeleee!