PostGE2025 Jumuiya ya Madola (Commonwealth) yasikitishwa na yanayoendelea Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hii kesi ilitakiwa iwe imekwisha zamanı!!!
Waliwakosea mno mno Watanzania. Kumruhusu huyu Muuaji kuendelea kuinajisi Ikulu licha ya kujua ufisadi na mauaji yote aliyofanya kwa Watanzania
 
JUMUIYA YA MADOLA WANATAMKO LAO PIA.

CMAG ya Jumuiya ya Madola imeiweka Tanzania kwenye ajenda rasmi kutokana na ongezeko la ukiukwaji wa demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria kabla na baada ya uchaguzi.

Wameitaka Tanzania:

1.Kumruhusu Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu kupata taarifa na kukutana na wadau wote.

2.Kuondoa vikwazo vya uhuru wa kujieleza, kukusanyika na kwa vyombo vya habari.

3.Kufanya majadiliano ya vyama vya siasa kuhusu mwelekeo wa uchaguzi ujao.

4.Kuwajibisha wahusika wa vurugu na kulipa fidia waathirika.

MWISHO.
 
Hili Tamko limekaa kimchongo Mchongo .


Kwamba linasema, Mjumbe wao akutane na Vyama vvyote vya Siasa Nchini, wapange namna gan ya kuelekea kwenye Uchaguzi Ujao ( 2030).


Kwamba, Walosababisha ghasia na mauaji Wawajibishwe na Kulipwa Fidia Wahanga,,,,, Hapa Tume ya Samia utakuja kutupia Zigo CHADEMA, Gwajima, TEC kidogo itachomekea Akina Mafwele, Kisha yenyewe itajiweka kwenye Position ya Kulipa Fidia yaan Ionekane Serikali imewalioa Fidia Wananchi wake .


TAMKO HILI TULIKEMEEE ,NI TAMKO LA CHIKWERA NA GENGE LAKE .


Matamko ya kwenda nayo ni matamko ya MAREKAN, EU, AU, SADC ,ICC NA YA AINA HIYO!!
 
Hii jumuiya hainaga Cha maana Kwa sasa
 
huyu chqkwera apigwe marufuku kukanyaga hapa bongo, hatuna imani naye. ni mpuuzi
 
Carlos, kuna mambo mengi yanaendelea kwenye hii serikali ya wahuni.

Mama Amon siku moja aliweka uzi hapa juu ya zile barua za polisi ni nani ameziandika na mbona ziko na utofauti “fulani fulani” ule uzi wengi hamkuuona, ila ulikuwa na jambo la maana sana.

Huyo Chakwera na wenzio kuna jambo, kuna watu wanasukuma hiyo kete kihuni ndio maana matamko yao yako tofauti na mengine yote.
 
Hatumkubali Chakwera ni mjinga, fisadi na asiye na maana. Hatumtaki
 
Hawa CCM na serikali walifikir katika karne hii wanaweza tu kuua watu, kupoteza watu, kubambikizia watu case bila utaratibu na dunia ikawaangalia tu.
 
Tumechafuliwa cv kila kona ya dunia, sijui nani anaweza kukubali kuwa rafiki labda kiduku wa korea.
 

.. The Palm Beach unaweza kufuatilia hapa.
 

Nyie ndio wale mkichukua dem mnapanda tu hata humuanda BLADFAKEN…
We Mjinga, Vikwazo vya Jumuiya ya Madola (COMMONWEALTH) kwa Tanzania Vimeanza Rasmi - NGOs Zapigwa Stop kuomba Miradi; https://www.jamiiforums.com/threads...gwa-stop-kuomba-miradi.2483999/#post-57064924
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…