Messi Lionel
Senior Member
- Jan 11, 2018
- 170
- 159
Wakati ikionekana kuwa moja kati ya timu zilizokamilika sana barani ulaya(Europa) msimu huu Jamaa waliamua kufanya Business yao Mapema sana...wakakusanya chao(Points zao) mapema kabisa katika mechi za Round ya kwanza ya Ligi na Katika hatua ya makundi(Group stage) ya UEFA Champions league...
Ndio maana sasa wapo katika Summit (Kileleni) ktk Ligi ya Malkia...
JOSEP alichofanikiwa ni Kufanya Biashara Asubuhi ,, Jioni ni kufanya hesabu ya kilichopatikana...
Lakini tangu mwaka ulipogeuka nilikuwa na hisia tofauti sana katika mwenendo wa City...Ubingwa wasingeukosa hata kwa dawa..kushinda mechi wasingeshindwa lakini kwa kutumia nguvu kubwa round ya 1 ni wazi mwaka huu
wangekutana na upinzani kiasi..Wakatolewa na Wigan kwenye FA
wakafungwa na Liverpool EPL..wakafungwa na Fc Basel nyumbani(Last 16)..sasa ndani ya siku 4 wakifungwa tena 6-2 na Liverpool+ManUtd...
Guardiola ni mmoja kati ya makocha wangu watano Bora lakini kwa hichi kilichotokea ni kurejea kwa wahenga tena JUNGU KUU HALIKOSI UKOKO...
MAN UTD na LIVERPOOL NI MAJUNGU KUU YA EPL...hayawezi kukosa angalao robo ya yale maaajabu yaliyofanywa na Babu zao,Baba zao au Kaka zao...
Japo mechi ya UEFA kati ya City na Kops haijaisha lakini kwa kile cha Anfield ni wazi bado wapaswa kuiheshimu Methali hiii...
Kwa alichokifanya Josee jana mbele ya Wajina wake Josep "PEP" ni wazi ametukumbusha wengi wetu tuliokuwa wafuasi wa mechi za Kimaamuzi(Decisive Games) kipindi hicho Josee Felix akiwa na Chelsea au Intermilan..sitaizungumzia sana Fc Porto ila kwa miaka 10 iliyopita yule Mou ndo amejirudia Jana....
Namaanisha Mourinho wa PETR CECH+JOHN TERRY+ESSIEN+LAMPARD SUPER FRANK 8+DIDIER DROGBA..
Mourinho wa CESAR+LUCIO+ZANETTI+CAMBIASSO+SNEIJDER+MILITO...
Jamaa amepitia kwenye Kipindi cha Dharau kubwa sana katika huu msimu pamoja na ule aliofukuzwa Chelsea...
Amepitia kwenye Dharau kubwa baada ya magoli ya Wissam Ben Yedder LAKINI JANA ALITAKA KUTUFUNDISHA NA KUTUKUMBUSHA KWAMBA YEYE SIO POCHETTINO..YEYE SIO ANDRE VILLAS BOAS..YEYE SIO QUIQUE SANCHES WALA YEYE SIO THOMAS TUCHEL...YEYE NI JOSÉ FELIX MOURINHO....
Jana Aliamua Jambo Lake Na Likawa...
Ingemsumbua sana akilini kwa Guardiola Kutangazia Ubingwa Mbele ya Macho yake..Mbele ya Mabosi wake na Ferguson akiwemo Uwanjani..
Ile ndio time ya Moirinho kutakaga Sifa
KWA HAYA YA LIVERPOOL NA UNITED HATUNA BUDI KUREJEA MISTARI YA WAHENGA...
~~JUNGU KUU HALIKOSI *UKOKO*~~...
AKIBA YA MANENO::: GAME YA UEFA ITAAMULIWA NA LIVERPOOL YENYEWE::