22nd
JF-Expert Member
- Aug 1, 2010
- 494
- 137
Jamani msinitoe roho, ni mtazamo wangu tu,na wewe unaweza kuwa na mtazamo wako pia.
Toka nianze kuijua JF, naona post nyingi tu za watu wanaotafuta wachumba,wake kwa waume. lakini most of them ni just a members, junior members or senior members.
kati ya watu 10 ya hao watafutaji wachumba, basi ni 1 tu atakuwa expert member or premium.
Maswali yangu ni haya:
Je expert members wote wameshaoa na kuolewa?
Je ni hao hao ma expert na premium wana register upya ili wapate wachumba?
kama si hivyo,inamaana huyo junior kabla ya kujiregister aliambiwa hapa jf ni sehemu rahisi ya kupata mchumba(best match:hug🙂?
Je,kuna aliyefanikiwa kuoa au kuolewa na mchumba wa jf?
NB:Sijasema watu wasitafute wachumba hapa jf,hayo ni maswali tu ninayojiuliza kila ninapoona post ya uchumba,ila nakosa majibu.
kwahiyo kama unamajibu unaweza kunisaidia.