Junior members:ni mtazamo tu


Babuyao nakubaliana na mtazamo wako huu!!! Kuna ukweli katika hili. Ingawa kuna wengine wanaamua tu kupost bila kufikiria ni nini cha kupost hata kama anatafuta mchumba kweli.
 
nami ngoja nilete siredi ya kutafuta mchumba mana naona kila mtu keshaleta nimebaki mimi tu mana imekua fashion kuleta siredi za kutafuta wenza humu
 
mbona kama umebadilisha santuri AD...ule wimbo tuliokuwa tunaisikiliza imebadilika ghafla
 
Mkuu mada yako ni mzuri sana na imeeleweka.
nilichokuwa napenda kujua ni kwamba how/when JF member become Junior, senior, premium and then finally expert.Nadhan Expert members ndio wanaweza kutuelezea walifikaje hukooo....nasema hivyo kwa sababu utaona mtu alijiunga 2010 lakin ni premium member au Senior wakati aliejiunga 2009 bado ni junior..je kuna uhusiano na ni post ngapi unazopost kwa siku? au rep power pia inachangia? nawakilisha tuu wajameni kama nimetokota naomben mnisitiri

 

Babuyao; Umenisaidia kupata jibu mkuu, Kuna Logic katika jibu lako..
 

Ahaaa kumbe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

nadhani u expert unaupata automatic kutokana na topic unazochangia(idadi), unaweza ukawa umejiunga 2008 still ukawa ni junior kama haujawahi kuchangia, na unaweza ukajiunga leo na kesho ukawa expert(ukikesha unapost na kureply)..only robot can do that.
au nimekosea?
 
Mabwana wadogo hao damu inachemka bado teh! Ngoja wasake mademu bado hawajajua juu ya ujengaji wa hoja zenye mashiko!
 


Gooooooooooooooooooooooooooooooooodddddddddddddddd!!!!!

 
wanahamishia tweeter, facebook, ****book na darhotwire JF...

Nadhani admin wanatakiwa waapige ban tu yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…