Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hapa duniani imezoeleka watu wabaya kufananishwa roho zao na wanyama ni kawaida utasikia “fulani ana roho ya kinyama sana” lakini je wafahamu kuna binadamu wana roho ya kikatili kuliko wanyama?
Tarehe 25 November 1988, vijana wa kiume wawili Miyano na rafiki yake Nobuharu Minato walikuwa wakizurura maeneo ya mji wa Misato huko Japan. Vijana hawa wenye umri wa miaka kumi na hivi walikuwa na lengo la kuwapora na kuwabaka mabinti wa maeneo hayo.
Majira ya 8:30 pm, walimuona binti aitwaye Furuta akiendesha baiskeli yake, kwa maagizo ya Miyano', Minato akampiga binti na kumuangusha kutoka kwenye baiskeli yake na akakimbia hilo eneo. Miyano akajidai anamsaidia binti kwa kumtoa chini na akaomba amsindikize binti kwao binti alikubali bila kujua anapelekwa kwenye ware house akabakwa na akatishiwa kuuawa baada ya hapo “baharia” Miyano akamuita Minato na rafiki zao wengine Jō Ogura na Yasushi Watanabe waendeleze ubakaji, Miyano alijisifu sana kwa kitendo hiki cha kinyama.
Vijana hawa walimtisha binti akijaribu kutoroka atakufa na walisema wao ni member wa group la YAKUZA, hili ni kundi liliogopwa sana huko Japan, baadae walimpeleka binti kwenye nyumba iliyomilikiwa na wazazi wa Minato.
Tarehe 27 Novemba wazazi wa binti Furuta walipiga simu polisi kutoa taarifa lakini kina Miyano sijui walifahamu vipi wakamshurutisha binti apige simu kwao na aseme ametoroka. Walifanya hivi ili kuogopa msako wa polisi.
Furuta aliwekwa nyumbani kwao Minato kwa siku 40 ambazo alibakwa na genge la Mayakuza, alipigwa, alinyimwa chakula na maji (mwanzo alipewa kidogo) alitundikwa darini na kutumiwa kama punching bag vijana walipotaka kufanya mazoezi, aliambiwa ale mende wazima, anywe mkojo wake, afanye masturbation mbele yao na walipochoka kuweka sehemu zao za siri kwenye mwili wake waliweka vitu kama bulb ya taa ikiwa ya moto hadi ikapasukia ndani hadi fireworks aliwekewa (fireworks ni zile fataki hupigwa wakati wa siku kuu) so ikalipuka wakati amechomekewa mwilini, walimchoma uke wake kwa sigara na viberiti vya gas, ile ngozi ya macho waliimwagia yale maji maji ya moto ya mshumaa, chuchu zake walizochomoa na pliers, walimshona maziwa kwa sindano.
Binti alijaribu kupiga simu polisi siku moja, adhabu aliyopewa walimchoma moto miguuni na kuchukua chupa ya soda wakamuingizia yote sehemu ya haja kubwa, hii ilipelekea binti apoteze fahamu na baadae sana aliteswa tena mpaka kufa na mwili wake uliwekwa kwenye pipa halafu likajazwa simenti iliyochanganya na maji kabisa pamoja na zege.
Tarehe 23 Januari 1989, Hiroshi Miyano na Jō Ogura walikamatwa kwa kosa la ubakaji wa binti wa miaka 19 waliyembaka kabla ya huyu ninayemuhadithia, wakati wa mahojiano polisi mmoja alijidai anawauliza kuhusu huyu binti Furuta kwani anajua wanajua alipo, wakajikanyaga wakasema ukweli wote, mwili wa binti ukapatikana lakini ulikuwa huwezi kutambua kama ni yeye mpaka walipofanya DNA, vijana hawa walishitakiwa na kuhukumiwa miaka kifungo cha miaka 17 jela na baadae walikuja kuachiwa huru
HUYU NDIYE Junko Furuta BINTI WALIYEMBAKA NA KUMTENDEA UNYAMA