Junko Furuta, binti wa Kijapani aliyebakwa na zaidi ya wanaume 100 ndani ya siku 40

Nahisi hizo hasira bado unapasha tu mkuu, wangefanikiwa kutoroka yaani wangekuwa machizi kutokana na ninachowaza kuwafanyia.
 

wazazi na ndugu za binti inaonekana walikuwa ni wapole kupita kiasi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka adhabu yako ingefanana na yangu ila mimi ningeongeza na hii... Ningewaweka katika chumba kidogo sana kisicho na hewa ya kutosha wala wasingeweza kulala, wangesimama ni kukaa tu! Kisha chakula chao kingekuwa ni wao kwa wao, yaani ningekuwa namchinja aliyedhaifu na kuwapa jiko wamchome na kula nyama yao, maji ni mkojo wao. Hivyo yule wa mwisho kabisa angeanza Kula sehemu ya mwili wake hadi kifo kingemfikia.
 
Dah wale ni wanyama ila nyie ni majitu
 
Dunia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duuu nimekosa hata adhabu yao zote naona hazifai!
wajapan ni binadamu wakatili sana,kuna mwanasayansi alikua exposed na radiation za nuclear akaanza kuoza huku akiwa anapumua ,aliwaomba mno wamuue ili kumpumguzia uchungu ila walikataa wakamuacha hai kwa miezi 3 hadi akafa kwa mateso sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…