Jurgen Klinsmann Sacked

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
Jürgen Klinsmann sacked by Bayern Munich

...ni habari ya kusikitisha kwakweli 🙁

Klinsmann ana nafasi kubwa kuonyesha utaalamu wake EPL, ...wakati huo huo kama Real Madrid, Bayern Munich nayo inamnyemelea 'Le Professeur' Arsene Wenger!
 
That's the law of the game. You don't deliver off you go, period!
 
Bado Benitez sasa maana akilikosa la Premier ndio hana chake maskini sijui labda wamuonee huruma
 
Hes a great coach atapata timu tu ...anaweza hata kuja Premier league wale man city ni kama hawana kocha!
 
Bayern Munich ilikuwa klabu kubwa sana kwake ,aje England atengeneze CV
 
Bayern walikuwa na kocha Otmar Hitzfield huyu mzee ndio anaiweza hii timu nimesikia Bernd Schuster anapewa nafasi kubwa kumrithi
 
Kuna fununu kuwa kabla ya kumsack Klinsmann walikuwa wanajaribu kuongea na Arsene Wenger.
 
I like Klinsman, pole baba. I like football, you don't deliver, off you go. I wish this would apply to Tanzanian heads of our parastatals and other gov agencies...teh teh teh..even presidency teh te teh
 
Dnt worry Mr. Klinsman,u r welcom in TZ there r many fabulous clubs the like of Simba ,Yanga, etc,etc. Kama vp muulize Ngasa alikuwa UK na Zola
 
Nilijuwa mapema Bavaria haikuwa size ya jurgen Klismann,vyema angelibakia US baada ya kushindwa kulibakisha mundial 2006 kwao na timu yake ya taifa FCBayern kwa kweli ni kama hollywood kama alivyopta kusema Otto Rehhagel enzi zake waliposhindwana na Franz Beckenbauer.
sitaraji kama Bern schuster kama anaweza kufanya kazi na Karl-Heinz Rummeniger. kwani alikuwa akimpinga wazi wazi kuwa Rummeniger enzi zile za ujerumani Magharibi hata Klaus fischers hakutaka Karl-Heinz Rummeniger awe nahodha wa Ujerumani magharibi ipo kazi sana kuwa meneja pale kwani nadhani ni Ottmar aliweza kumuudu kazi pale wanataka mafanikio haraka saana Giovanni Trapattoni Dettmar Cramer,Rehhagel hata Felex maggath walikuwa wazuri walipofundisha vilabu vingine lakini kwa Bayern walichemka Jupp Heynckes anarudi mara ya pili baada ya kutimuliwa mwaka 1991 kaziiii kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…