Jurgen Klop hata akiwa kocha wa Yanga anamfunga Guardiola..

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
5-1 kwa mancity kufungwa kwenye champions league sio mchezo.. dah shikamoo klop

Na upande wa pili kilichowakuta kina messi wanakijua..
 

Attachments

  • DactpKOX0AABAZF.jpeg
    60.5 KB · Views: 42
"Mourinho hata awe kocha wa Lipuli anamfunga Guardiola"
 
Walipokuwa wanamwambia timu za EPL sio lele mama akaona wanajaribu kumchekesha kisa kawagonga gonga ovyo......ligi nzima kwa ujumla haikuwa stable......sasa kwa wiki hizi mbili, angalau amepata cha kusimulia kuhusu hizo timu za EPL

Ngoma ya kitoto haikeshi.........amepambana na MZIZI uliojichimbia chini zaidi UCL
 

Na bado Toten harm lazima amugonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…