Jurgen Klop tafadhali amka toka usingizini

Jurgen Klop tafadhali amka toka usingizini

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
397
Reaction score
481
JK alikuja na matumaini makubwa sana pale Liverpool akiwa na kila sababu ya kuirudisha moja ya timu kogwe kabisa na zenye mafanikio pale kwa Malikia..

Lakini zaidi ya kuzifunga timu kubwa hakuna chochote anachoweza jivunia huyu jamaa.Jk please amka toka usingizini kocha bora haishii kushinda big match na kufungwa mechi ndogo hilo limedhihilika juzi katika UCL umeshindwa kuifunga timu yenye ubora wa kawaida kabisa Spartak Moscow..

Mashabiki nguli wa majogoo wa jiji wanatarajia kurusha ndege mwishoni mwa juma wakati mechi yao dhidi ya Newcastle ikiendee wakimwomba kocha wao wa zamani Rafa Benitez arejee nyumbani maana wanaona JK ameshindwa kazi.

JK amka toka usingizini kumekucha.
 
Huyu huwa ananiharibia weekend zangu kabisa yani timu inacheza huku umeshika tamaa wakati watani zangu Man UTD wanakenua meno kila siku..
 
Wamemkumbuka baba yao Rafa Benitez, mzee wa Champions League
 
Oya nyie.msiniharibie timu yangu new castle.tafadharini sana.
 
Carlo Ancelotti: Bayern Munich sack Italian manager

_98060446_ancelotti_reuters.jpg

Carlo Ancelotti has been sacked as manager of Bayern Munich.

Following Wednesday's 3-0 Champions League defeat by Paris St-Germain, the club's board has decided to dismiss the Italian, who replaced Pep Guardiola at the start of last season.

Ancelotti, 58, helped Bayern win the Bundesliga last term, but they only reached the last eight of the Champions League and the German Cup semi-finals.


Assistant boss Willy Sagnol will take temporary charge.

Bayern, league champions in each of the past five seasons, are third in the German table, three points behind Borussia Dortmund, with four wins, one draw and one defeat from their first six matches. They next play away to Hertha Berlin on Sunday (14:30 BST).

"The performance of our team since the start of the season did not meet the expectations we put to them," said Bayern's chief executive Karl-Heinz Rummenigge.

"I would like to thank Carlo for his cooperation. Carlo is my friend and will remain my friend, but we had to make a professional decision. The game in Paris clearly showed that we had to draw consequences."

Former Chelsea, PSG, Real Madrid and AC Milan boss Ancelotti has won the Champions League three times - with Milan in 2003 and 2007, and with Madrid in 2014.

That return makes him the joint most successful manager in European Cup history, along with former Liverpool boss Bob Paisley, who also won three titles, in 1977, 1978 and 1981.

Ancelotti also led Milan to the Champions League final in 2005, but the Italian side were beaten on penalties by Liverpool, despite having led 3-0 at half-time.

my take:
Carlo has won a hat trick of UCL trophies plus countless domestic trophies in 4 of the biggest leagues in Europe. yet he has been sacked less than 2 months into a season without forgetting that he led Bayern to the Bundesliga title only recently (last season).

hivi ndivyo clubs zote zenye DNA ya silverware (kama LFC) zinatakiwa kufanya kwa kocha yeyote anayembwela mbwela. ni watu naïve tu na wasioijua LFC vizuri ndiyo wanaoendelea kumchekea chekea Klopp na ngonjera zake.
he has to improve - and fast - or else
[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG] !
 
Huyu huwa ananiharibia weekend zangu kabisa yani timu inacheza huku umeshika tamaa wakati watani zangu Man UTD wanakenua meno kila siku..
Na sasa hivi hatupokei mashabiki wapya bila kuwafanyia usaili,wasije wakawa makinikia.
 
Back
Top Bottom