mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Inavyosemekana wanawake wengi hutumia poda au talc, na nguvu ya matangazo yanayowalenga hasa wanene, kupaka maeneo ya siri. Huyu mama alikua akitumia poda hiyo badae kaugua kansa na kuwashitaki Johnson & johnson baby powder. Wazee wa baraza (jury) wameamuru alipwe dola milioni 70 kama fidia. Ni kesi ya pili ya namna hiyo, mwingine alikufa familia yake imelipwa dola 50million.
Ingawa yasemekana Kansa ya ovaries (mayai ya uzazi) husababishwa na utumiaji wa hormones baada ya menoupause, unene (obesity), kurithi katika ukoo, mwanamke kkutokuzaa kabisaa, some mutations, bado kwa wapaka poda kuna chance ya 40% kuathirika na kansa, utafiti.
Ladies kuweni waangalifu. Na quality ya hizi zinazo kuja madukani kwetu!!!, Mungu atulindie dada zetu.