Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alama ya kupeana mikono ni ishara ya kukubali.Murua kabisa.. kitufe Cha Like kimeboreshwa Sana!
Kwenye avatar ni wewe au mwanao? Nimependa sana huyu binti kwenye avatar. Anaonekana na uzuri wake asilia bila makeup.
Kwanini unahitaji kujua?Kwenye avatar ni wewe au mwanao? Nimependa sana huyu binti kwenye avatar. Anaonekana na uzuri wake asilia bila makeup.
Nimewahi kukuuliza hukunijibu.